بِأَكۡوَابࣲ وَأَبَارِيقَ وَكَأۡسࣲ مِّن مَّعِينࣲ ١٨
Al-Waqi'ah 56:18
سورة الواقعة
Makka
Aya: 18/96
Ukurasa 535
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
wakiwa na vikombe, mabirika na gilasi kutoka kwenye chemchemi ya pombe yenye kupita ndani ya Pepo,
Al-Waqi'ah 56:18
Inapakia kisomo…
0:00