ءَأَنتُمۡ أَنشَأۡتُمۡ شَجَرَتَهَآ أَمۡ نَحۡنُ ٱلۡمُنشِـُٔونَ ٧٢
Al-Waqi'ah 56:72
سورة الواقعة
Makka
Aya: 72/96
Ukurasa 536
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je ni nyinyi mlioufanya mti wake, unaozalisha moto kwa kukwaruzwa, upatikane au ni sisi tulioufanya upatikane?
Al-Waqi'ah 56:72
Inapakia kisomo…
0:00