وَتَجۡعَلُونَ رِزۡقَكُمۡ أَنَّكُمۡ تُكَذِّبُونَ ٨٢
Al-Waqi'ah 56:82
سورة الواقعة
Makka
Aya: 82/96
Ukurasa 537
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na je mnaifanya shukrani yenu kwa neema za Mola wenu ni kuwa nyinyi mnazikanusha na kukufuru? Hapa pana makaripio kwa anayedharau amri za Qur’ani na kutojali mwito wake.
Al-Waqi'ah 56:82
Inapakia kisomo…
0:00