فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّمَا عَلَيۡكَ ٱلۡبَلَٰغُ ٱلۡمُبِينُ ٨٢
An-Nahl 16:82
سورة النحل
Makka
Aya: 82/128
Ukurasa 276
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi wakikengeuka lilio juu yako wewe ni kufikisha ujumbe wazi wazi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakikupa mgongo, ewe Mtume, baada ya kuziona hizi aya, basi usisikitike. Kwani jukumu lako ni kuufikisha ujumbe uliotumwa nao waziwazi, ama kuongoa ni kwetu sisi.
An-Nahl 16:82
Inapakia kisomo…
0:00