لَقَدۡ رَأَىٰ مِنۡ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلۡكُبۡرَىٰٓ ١٨
An-Najm 53:18
سورة النجم
Makka
Aya: 18/62
Ukurasa 526
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, aliona, usiku wa Mi'rāj (kwenda mbinguni) alama kubwa zinazojulisha uweza wa Mwenyezi Mungu na ukubwa Wake miongoni mwa Pepo, Moto na vinginevyo.
An-Najm 53:18
Inapakia kisomo…
0:00