أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلۡأُنثَىٰ ٢١
An-Najm 53:21
سورة النجم
Makka
Aya: 21/62
Ukurasa 526
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je huyu mwanamume mnamfanya ni wenu kwa kuwa mnaridhika naye, na mwanamke ambaye hamridhiki naye nyinyi wenyewe mnamfanya ni wa Mwenyezi Mungu?
An-Najm 53:21
Inapakia kisomo…
0:00