فَبِأَيِّ ءَالَآءِ رَبِّكَ تَتَمَارَىٰ ٥٥
An-Najm 53:55
سورة النجم
Makka
Aya: 55/62
Ukurasa 528
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi neema gani ya Mola wako Mlezi unayo ifanyia shaka? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi ni neema zipi za Mola wako, ewe binadamu mkanushaji, unazifanyia shaka?
An-Najm 53:55
Inapakia kisomo…
0:00