هَٰذَا نَذِيرࣱ مِّنَ ٱلنُّذُرِ ٱلۡأُولَىٰٓ ٥٦
An-Najm 53:56
سورة النجم
Makka
Aya: 56/62
Ukurasa 528
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hili ni Onyo katika maonyo yale yale ya zamani. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Huyu Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ni mwonyaji wa haki ambayo kwayo walionya Manabii kabla yake, si kitu kipya katika Mitume.
An-Najm 53:56
Inapakia kisomo…
0:00