ٱذۡهَب بِّكِتَٰبِي هَٰذَا فَأَلۡقِهۡ إِلَيۡهِمۡ ثُمَّ تَوَلَّ عَنۡهُمۡ فَٱنظُرۡ مَاذَا يَرۡجِعُونَ ٢٨
An-Naml 27:28
سورة النمل
Makka
Aya: 28/93
Ukurasa 379
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nenda na barua yangu hii na uwafikishie, kisha waache na utazame watarejesha nini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Enda na barua yangu hii kwa watu wa Saba’ uwapatie, kisha jiepushe kando na wao ukiwa karibu nao mahali unapoweza kusikia maneno yao na uyatie akilini maneno yatakayopitika baina yao.»
An-Naml 27:28
Inapakia kisomo…
0:00