ٱلَّذِينَ يُقِيمُونَ ٱلصَّلَوٰةَ وَيُؤۡتُونَ ٱلزَّكَوٰةَ وَهُم بِٱلۡأٓخِرَةِ هُمۡ يُوقِنُونَ ٣
An-Naml 27:3
سورة النمل
Makka
Aya: 3/93
Ukurasa 377
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ambao wanashika Sala, na wanatoa Zaka, na Akhera wana yakini nayo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ambao wanasimamisha Swala tano zilizotimia nguzo, zilizokamilika masharti, na wanatekeleza Zaka za lazima kwa wanaostahiki kupewa, na wao wanaamini kwa yakini maisha ya Akhera na yaliyomo ndani yake ya malipo mema na mateso.
An-Naml 27:3
Inapakia kisomo…
0:00