An-Nazi'at 79:10

سورة النازعات

Makka Aya: 10/46 Ukurasa 583

يَقُولُونَ أَءِنَّا لَمَرۡدُودُونَ فِي ٱلۡحَافِرَةِ ١٠

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Sasa wanasema: Ati kweli tutarudishwa kwenye hali ya kwanza?
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Wanasema hawa wakanushao kufufuliwa:

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu