إِنَّمَآ أَنتَ مُنذِرُ مَن يَخۡشَىٰهَا ٤٥
An-Nazi'at 79:45
سورة النازعات
Makka
Aya: 45/46
Ukurasa 584
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wewe linalokuhusu katika habari zake ni kumuonya nacho yule anayekiogopa.
An-Nazi'at 79:45
Inapakia kisomo…
0:00