أُوْلَٰٓئِكَ مَأۡوَىٰهُمۡ جَهَنَّمُ وَلَا يَجِدُونَ عَنۡهَا مَحِيصࣰا ١٢١
An-Nisa' 4:121
سورة النساء
Madina
Aya: 121/176
Ukurasa 97
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hao makao yao ni Jahannamu, na wala hawapati makimbilio kutoka humo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hao marejeo yao ni Jahanamu; na hawatapata mapenyo wala mahali pa kukimbilia ili kuepukana nayo.
An-Nisa' 4:121
Inapakia kisomo…
0:00