وَأَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُواْ ٱلزَّكَوٰةَ وَأَطِيعُواْ ٱلرَّسُولَ لَعَلَّكُمۡ تُرۡحَمُونَ ٥٦
An-Nur 24:56
سورة النور
Madina
Aya: 56/64
Ukurasa 357
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mtume, ili mpate kurehemewa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na isimamisheni Swala kwa kuitimiza, na toeni Zaka kuwapa wanaostahiki kupewa na mumtii Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kwa kutarajia Mwenyezi Mungu Awarehemu.
An-Nur 24:56
Inapakia kisomo…
0:00