An-Nur 24:56

سورة النور

Madina Aya: 56/64 Ukurasa 357

وَأَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُواْ ٱلزَّكَوٰةَ وَأَطِيعُواْ ٱلرَّسُولَ لَعَلَّكُمۡ تُرۡحَمُونَ ٥٦

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mtume, ili mpate kurehemewa.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu