يَطُوفُونَ بَيۡنَهَا وَبَيۡنَ حَمِيمٍ ءَانࣲ ٤٤
Ar-Rahman 55:44
سورة الرحمن
Madina
Aya: 44/78
Ukurasa 533
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watakuwa wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
mara wanaadhibiwa kwenye Jaḥīm, na mara nyingine wananyweshwa Hāmīm, nacho ni kinywaji kilichofikia upeo wa ukali wa moto, kinakata tumbo na sehemu za ndani ya mbavu.
Ar-Rahman 55:44
Inapakia kisomo…
0:00