هَٰذِهِۦ جَهَنَّمُ ٱلَّتِي يُكَذِّبُ بِهَا ٱلۡمُجۡرِمُونَ ٤٣
Ar-Rahman 55:43
سورة الرحمن
Madina
Aya: 43/78
Ukurasa 533
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hii ndiyo Jahannamu ambayo wakosefu wakiikanusha. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wataambiwa hao wahalifu kwa njia ya kulaumiwa na kudhalilishwa, «Huu ndio moto wa Jahanamu ambao wahalifu duniani walikuwa wakiukanusha:
Ar-Rahman 55:43
Inapakia kisomo…
0:00