فِيهِنَّ قَٰصِرَٰتُ ٱلطَّرۡفِ لَمۡ يَطۡمِثۡهُنَّ إِنسࣱ قَبۡلَهُمۡ وَلَا جَآنࣱّ ٥٦
Ar-Rahman 55:56
سورة الرحمن
Madina
Aya: 56/78
Ukurasa 533
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Katika matandiko hayo wapo wake macho yao yanawatazama waume zao tu, hawawatazami wengineo, wamefungamana na wao. Hakuna aliyewaingilia, kabla ya hao waume zao, binadamu yoyote wala jini.
Ar-Rahman 55:56
Inapakia kisomo…
0:00