لَمۡ يَطۡمِثۡهُنَّ إِنسࣱ قَبۡلَهُمۡ وَلَا جَآنࣱّ ٧٤
Ar-Rahman 55:74
سورة الرحمن
Madina
Aya: 74/78
Ukurasa 534
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hajawagusa mtu wala jini kabla yao. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hawajaingiliwa Mahurulaini hawa na binadamu yoyote wala jini kabla ya waume zao.
Ar-Rahman 55:74
Inapakia kisomo…
0:00