Ar-Rahman 55:76

سورة الرحمن

Madina Aya: 76/78 Ukurasa 534

مُتَّكِـِٔينَ عَلَىٰ رَفۡرَفٍ خُضۡرࣲ وَعَبۡقَرِيٍّ حِسَانࣲ ٧٦

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Wameegemea juu ya matakia ya kijani na mazulia mazuri.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Hali ya kuwa wametegemea kwenye mito yenye mifuko rangi ya kijani na matandiko mazuri.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu