لِيَكۡفُرُواْ بِمَآ ءَاتَيۡنَٰهُمۡۚ فَتَمَتَّعُواْ فَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ٣٤
ArRoom 30:34
سورة الروم
Makka
Aya: 34/60
Ukurasa 408
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa kuyakataa tuliyo wapa. Basi stareheni. Mtakuja jua! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ili wakanushe kile tulichowapa na kuwaneemesha kwacho cha kutatuliwa matatizo na kuondolewa shida. Basi stareheni, enyi washirikina, kwa neema na ukunjufu katika dunia hii, mtakijua mtakachokikuta cha adhabu na mateso.
ArRoom 30:34
Inapakia kisomo…
0:00