إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ ٱلۡبَلَٰٓؤُاْ ٱلۡمُبِينُ ١٠٦
As-Saffat 37:106
سورة الصافات
Makka
Aya: 106/182
Ukurasa 450
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika amri ya kuwa wewe umuue mwano ndio mtihani mgumu uliodhihirisha ukweli wa Imani yako.
As-Saffat 37:106
Inapakia kisomo…
0:00