وَفَدَيۡنَٰهُ بِذِبۡحٍ عَظِيمࣲ ١٠٧
As-Saffat 37:107
سورة الصافات
Makka
Aya: 107/182
Ukurasa 450
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tukamuokoa Ismā'īl, na tukamuekea kondoo mkubwa kuwa ni badala yake.
As-Saffat 37:107
Inapakia kisomo…
0:00