As-Saffat 37:107

سورة الصافات

Makka Aya: 107/182 Ukurasa 450

وَفَدَيۡنَٰهُ بِذِبۡحٍ عَظِيمࣲ ١٠٧

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na tukamuokoa Ismā'īl, na tukamuekea kondoo mkubwa kuwa ni badala yake.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu