إِنَّهُمَا مِنۡ عِبَادِنَا ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ١٢٢
As-Saffat 37:122
سورة الصافات
Makka
Aya: 122/182
Ukurasa 450
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika wawili hao ni katika waja wetu walio amini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika ya wao wawili ni miongoni mwa waja wetu waliojikita katika Imani.
As-Saffat 37:122
Inapakia kisomo…
0:00