فَكَذَّبُوهُ فَإِنَّهُمۡ لَمُحۡضَرُونَ ١٢٧
As-Saffat 37:127
سورة الصافات
Makka
Aya: 127/182
Ukurasa 451
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakamkadhibisha. Basi kwa hakika watahudhurishwa; -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watu wa Ilyas walimkanusha Nabii wao. Basi Mwenyezi Mungu , kwa hakika, Atawakusanya Siku ya Kiyama ili wahesabiwe na wateswe.
As-Saffat 37:127
Inapakia kisomo…
0:00