إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ١٦٠
As-Saffat 37:160
سورة الصافات
Makka
Aya: 160/182
Ukurasa 452
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio safishwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Lakini wale waja wa Mwenyezi Mungu wanaomtakasia katika kumuabudu hawamsifu isipokuwa kwa sifa zinazolingana na utukufu Wake, kutakasika ni Kwake.
As-Saffat 37:160
Inapakia kisomo…
0:00