As-Saffat 37:168

سورة الصافات

Makka Aya: 168/182 Ukurasa 452

لَوۡ أَنَّ عِندَنَا ذِكۡرࣰا مِّنَ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٦٨

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Tungeli kuwa na Ukumbusho kama wa watu wa zamani,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    «Ewe Mtume! Lau vingalitujia vitabu na Manabii vile vilivyowajia wa mwanzo kabla yetu,

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu