أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابࣰا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَدِينُونَ ٥٣
As-Saffat 37:53
سورة الصافات
Makka
Aya: 53/182
Ukurasa 448
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, tunapokufa, tukakatika vipande- vipande na tukawa mchanga na mifupa, kwani ni wenye kufufuliwa, kuhesabiwa na kulipwa kwa matendo yetu?’»
As-Saffat 37:53
Inapakia kisomo…
0:00