إِذۡ قَالَ لَهُمۡ أَخُوهُمۡ نُوحٌ أَلَا تَتَّقُونَ ١٠٦
Ash-Shu'ara' 26:106
سورة الشعراء
Makka
Aya: 106/227
Ukurasa 371
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Alipo waambia ndugu yao, Nuhu: Je! Hamchimngu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kumbuka pindi aliposema kuwaambia wao ndugu yao Nūḥ, «Je, hamumuogopi Mwenyezi Mungu kwa kuacha kumuabudu asiyekuwa Yeye?
Ash-Shu'ara' 26:106
Inapakia kisomo…
0:00