۞ قَالُوٓاْ أَنُؤۡمِنُ لَكَ وَٱتَّبَعَكَ ٱلۡأَرۡذَلُونَ ١١١
Ash-Shu'ara' 26:111
سورة الشعراء
Makka
Aya: 111/227
Ukurasa 371
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema: Je! Tukuamini wewe, hali wanao kufuata ni watu wa chini? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watu wake wakamwambia, «Vipi tutakuamini na tutakufuata na hali hao waliokufuata ni watu wanyonge na wale wa hali ya chini miongoni mwao?»
Ash-Shu'ara' 26:111
Inapakia kisomo…
0:00