قَالَ رَبِّ إِنِّيٓ أَخَافُ أَن يُكَذِّبُونِ ١٢
Ash-Shu'ara' 26:12
سورة الشعراء
Makka
Aya: 12/227
Ukurasa 367
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Hakika mimi nachelea wasinikanushe. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mūsā akasema, «Mola wangu! Mimi ninaogopa wasije wakanikanusha juu ya utume,
Ash-Shu'ara' 26:12
Inapakia kisomo…
0:00