أَتَبۡنُونَ بِكُلِّ رِيعٍ ءَايَةࣰ تَعۡبَثُونَ ١٢٨
Ash-Shu'ara' 26:128
سورة الشعراء
Makka
Aya: 128/227
Ukurasa 372
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Je! Mnajenga juu ya kila mnyanyuko kumbusho la kufanyia upuuzi? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Je mnajenga kila mahali palipoinuka jengo refu mkawa mnatazama kutoka hapo na mnawacheza shere wapita njia? Huo ni upuuzi na upitaji kiasi, na hauwaletei nyinyi faida yoyote katika dini au katika dunia.
Ash-Shu'ara' 26:128
Inapakia kisomo…
0:00