وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ١٥٩
Ash-Shu'ara' 26:159
سورة الشعراء
Makka
Aya: 159/227
Ukurasa 373
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kwa hakika Mola wako Ndiye Mshindi, Mwenye kutendesha nguvu, Mwenye kuwatesa maadui Wake, Mwenye huruma kwa walioamini miongoni mwa viumbe Wake.
Ash-Shu'ara' 26:159
Inapakia kisomo…
0:00