رَبِّ نَجِّنِي وَأَهۡلِي مِمَّا يَعۡمَلُونَ ١٦٩
Ash-Shu'ara' 26:169
سورة الشعراء
Makka
Aya: 169/227
Ukurasa 374
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mola wangu Mlezi! Niokoe mimi na ahali zangu na haya wayatendayo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kisha Lūṭ akamuomba Mola wake, alipokata tamaa kuwa watamsikiliza, alisema, «Mola wangu! Niokoe mimi na uwaokoe jamaa zangu na kile wanachokifanya watu wangu cha uasi huu mchafu na (utuokoe na) adhabu yako itakayowapata.»
Ash-Shu'ara' 26:169
Inapakia kisomo…
0:00