وَٱتَّقُواْ ٱلَّذِي خَلَقَكُمۡ وَٱلۡجِبِلَّةَ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٨٤
Ash-Shu'ara' 26:184
سورة الشعراء
Makka
Aya: 184/227
Ukurasa 375
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na mcheni aliye kuumbeni nyinyi na vizazi vilivyo tangulia. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Na jihadharini na mateso ya Mwenyezi Mungu Aliyewaumba na Akawaumba watu wa mataifa yaliyowatangulia.»
Ash-Shu'ara' 26:184
Inapakia kisomo…
0:00