قَالُوٓاْ إِنَّمَآ أَنتَ مِنَ ٱلۡمُسَحَّرِينَ ١٨٥
Ash-Shu'ara' 26:185
سورة الشعراء
Makka
Aya: 185/227
Ukurasa 375
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema: Hakika wewe ni katika walio rogwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakasema, «Ukweli ni kwamba wewe, ewe Shu’ayb, ni miongoni mwa wale waliopatwa na uchawi ukawashika sana ukawaondoa akili zao.
Ash-Shu'ara' 26:185
Inapakia kisomo…
0:00