تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُبِينِ ٢
Ash-Shu'ara' 26:2
سورة الشعراء
Makka
Aya: 2/227
Ukurasa 367
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hizi ni aya za Qur’ani yenye kufafanua kila kitu, yenye kupambanua baina ya uongofu na upotevu.
Ash-Shu'ara' 26:2
Inapakia kisomo…
0:00