لَعَلَّكَ بَٰخِعࣱ نَّفۡسَكَ أَلَّا يَكُونُواْ مُؤۡمِنِينَ ٣
Ash-Shu'ara' 26:3
سورة الشعراء
Makka
Aya: 3/227
Ukurasa 367
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Huenda labda ukajikera nafsi yako kwa kuwa hawawi Waumini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Huenda wewe, ewe Mtume, kwa kuwa una hamu sana ya kutaka wao waongoke, ukajiangamiza mwenyewe kwa kuwa wao hawakukuamini na hawakufuata kimatendo uongofu wako. Basi usifanye hivyo.
Ash-Shu'ara' 26:3
Inapakia kisomo…
0:00