وَٱخۡفِضۡ جَنَاحَكَ لِمَنِ ٱتَّبَعَكَ مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ٢١٥
Ash-Shu'ara' 26:215
سورة الشعراء
Makka
Aya: 215/227
Ukurasa 376
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na watwae kwa upole wanao kufuata miongoni mwa Waumini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na uwe laini wa mwenendo na maneno, kwa unyenyekevu na huruma, kwa yule ambaye imekufunukia kutoka kwake kuitika mwito wako.
Ash-Shu'ara' 26:215
Inapakia kisomo…
0:00