قَالَ لِمَنۡ حَوۡلَهُۥٓ أَلَا تَسۡتَمِعُونَ ٢٥
Ash-Shu'ara' 26:25
سورة الشعراء
Makka
Aya: 25/227
Ukurasa 368
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
(Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Fir’awn akasema kuwaambia walioko pambizoni mwake miongoni mwa watukufu wa watu wake, «Je, hamusikii maneno ya Mūsā ya ajabu kwamba kuna mola asiyekuwa mimi?»
Ash-Shu'ara' 26:25
Inapakia kisomo…
0:00