وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِيَ بَيۡضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ ٣٣
Ash-Shu'ara' 26:33
سورة الشعراء
Makka
Aya: 33/227
Ukurasa 368
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na akautoa mkono wake, na mara ukawa mweupe kwa watazamao. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na akautoa mkono wake kwenye uwazi wa kanzu yake uliofunguliwa kifuani au chini ya kwapa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama barafu, na sio weupe wa mbalanga, ukawashangaza waangaliaji.
Ash-Shu'ara' 26:33
Inapakia kisomo…
0:00