أَوَلَمۡ يَرَوۡاْ إِلَى ٱلۡأَرۡضِ كَمۡ أَنۢبَتۡنَا فِيهَا مِن كُلِّ زَوۡجࣲ كَرِيمٍ ٧
Ash-Shu'ara' 26:7
سورة الشعراء
Makka
Aya: 7/227
Ukurasa 367
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Je! Hawakuiona ardhi, mimea mingapi tumeiotesha humo, ya kila namna nzuri? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, wanakanusha na hali wao hawakuiangalia ardhi ambayo ndani yake tumeotesha kila aina nzuri ya mimea ambayo hakuna awezae kuiyotesha isipokuwa Mola wa viumbe vyote?
Ash-Shu'ara' 26:7
Inapakia kisomo…
0:00