وَمِنۡ ءَايَٰتِهِ ٱلۡجَوَارِ فِي ٱلۡبَحۡرِ كَٱلۡأَعۡلَٰمِ ٣٢
Ash-Shura 42:32
سورة الشورى
Makka
Aya: 32/53
Ukurasa 487
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na miongoni mwa alama Zake zenye kuonyesha uweza Wake mkubwa na mamlaka Yake yenye kushinda ni majahazi makubwa kama majabali yanayotembea baharini.
Ash-Shura 42:32
Inapakia kisomo…
0:00