عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ١٨
At-Taghabun 64:18
سورة التغابن
Madina
Aya: 18/18
Ukurasa 557
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mwenye kujua siri na dhaahiri, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na Yeye, kutakasika na kila upungufu ni Kwake, ni Mjuzi wa kila lililofichika lisionekane na lile lililojitokeza likaonekana, ni Mshindi Asiye na mshindani, ni Mwingi wa hekima katika maneno Yake na matendo Yake.
At-Taghabun 64:18
Inapakia kisomo…
0:00