At-Takwir 81:1

سورة التكوير

Makka Aya: 1/29 Ukurasa 586

إِذَا ٱلشَّمۡسُ كُوِّرَتۡ ١

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation

    Jua litakapo kunjwa,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Pindi jua litakapokunjwa, na mwangaza wake ukaondoka.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu