إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونࣲ ٦
At-Tin 95:6
سورة التين
Makka
Aya: 6/8
Ukurasa 597
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Isipokuwa wale walioamini na wakafanya amali njema; wao watakuwa na malipo makubwa yasiyokatika wala kupungua.
At-Tin 95:6
Inapakia kisomo…
0:00