۞ وَيَطُوفُ عَلَيۡهِمۡ غِلۡمَانࣱ لَّهُمۡ كَأَنَّهُمۡ لُؤۡلُؤࣱ مَّكۡنُونࣱ ٢٤
At-Tur 52:24
سورة الطور
Makka
Aya: 24/49
Ukurasa 524
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Iwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na watawazunguka watumishi waliotayarishwa kuwatumikia kama kwamba wao katika usafi na weupe na utungaji nidhamu ni lulu iliyohifadhiwa kwenye mashaza yake.
At-Tur 52:24
Inapakia kisomo…
0:00