أَمۡ تَأۡمُرُهُمۡ أَحۡلَٰمُهُم بِهَٰذَآۚ أَمۡ هُمۡ قَوۡمࣱ طَاغُونَ ٣٢
At-Tur 52:32
سورة الطور
Makka
Aya: 32/49
Ukurasa 525
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu majeuri tu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Au zinawaamuru akili zao, hao wakanushaji, ziseme neno hili linalogongana (kuwa sifa ya ukuhani, utungaji mashairi, na wendawazimu haiwezekani kukutana wakati mmoja)? Bali wao ni watu waliruka mipaka katika uasi.
At-Tur 52:32
Inapakia kisomo…
0:00