أَمۡ لَهُ ٱلۡبَنَٰتُ وَلَكُمُ ٱلۡبَنُونَ ٣٩
At-Tur 52:39
سورة الطور
Makka
Aya: 39/49
Ukurasa 525
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, mwenyezi Mungu , aliyetakasika, Ana watoto wa kike na nyinyi mna watoto wa kiume kama mnavyodai kwa uzushi na urongo?
At-Tur 52:39
Inapakia kisomo…
0:00